Wanawake wenye ulafi wa ofa

scatter

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
1,671
Reaction score
943
Ukitaka kujihadhari na aina za mademu hawa je ni tahadhari ipi nichukue,maana wengi mnadai ni wepesi kukubali ofa mitoko ya pombe na pub za uswahilini ,wakati kwa upande wangu sipendi type hizo.

JE mwanamke mwenye heshima zake anapenda ofa zipi?
 
^^
Tukiacha wanawake wa JF..huku kwetu wapo ambao hata baa au club hawazijui.
^^

daah mkuu nionyeshe njia ya huko ...huku ni aibu tupu wengi wa mizinga
 
ukitaka kujihadhari na aina za mademu hawa je ni tahadhari ipi nichukue
maana wengi mnadai ni wepesi kukubali ofa mitoko ya pombe na pub za uswahilini ,wakati kwa upande wangu sipendi type hizo
JE mwanamke mwenye heshima zake anapenda ofa zipi?

una hela kwanza??siyo wanapenda offer zipi ukiambiwa unatoka baru
 
sasa atakubali vipi ofa kama hujaitoa? kujihadhari nao ni kutokutoa hizo ofa na uwe mbahiliiii.. (ila hapa unaweza ukamaliza mwaka hujapata demu).
 
ukitaka kujihadhari na aina za mademu hawa je ni tahadhari ipi nichukue
maana wengi mnadai ni wepesi kukubali ofa mitoko ya pombe na pub za uswahilini ,wakati kwa upande wangu sipendi type hizo
JE mwanamke mwenye heshima zake anapenda ofa zipi?

sasa atakubali vipi ofa kama hujaitoa? kujihadhari nao ni kutokutoa hizo ofa na uwe mbahiliiii.. (ila hapa unaweza ukamaliza mwaka hujapata demu).

duuh ina maana ile kutoa hela ya pombe na vocha ndio sio ubahili? Je usipotoa ofa hizi ni vipi?
 
Una bahati mbaya kwa kuwa unakutana na wa hivyo,
Ila siyo wanawake wote wana tabia kama hizo.
 
Duh..unaogopa mizinga wakati unataka mademu wa kibongo?
Kaka kama vipi nenda mbele tu..huko hakunaga mizinga ya pombe na kuchunana kwa kijingjinga
Ila kwa bongo...mmmh!
 
duuh ina maana ile kutoa hela ya pombe na vocha ndio sio ubahili? Je usipotoa ofa hizi ni vipi?

kwani mkuu unalazimishwa kutoa? huyo sio mkeo kusema lazma umuhudumie.
 
Ww ndiye umemuita kama usingemuita asingekuja kwenye hizo offer
 
Ukitaka kujihadhari na aina za mademu hawa je ni tahadhari ipi nichukue,maana wengi mnadai ni wepesi kukubali ofa mitoko ya pombe na pub za uswahilini ,wakati kwa upande wangu sipendi type hizo.

JE mwanamke mwenye heshima zake anapenda ofa zipi?
1. Watafute wa type yako
2. Wanawake wenye hekima hutawapata kwa sababu sio wepesi wa kupokea ofa kutoka kwa he-goats. Wanahitaji serious relationship with a serious person without any strings attachment.
 
ok....
 
usisahau jinsi ulivyo ndio unavutia wanawake/wanaume wa aina fulani......
 
1. Watafute wa type yako
2. Wanawake wenye hekima hutawapata kwa sababu sio wepesi wa kupokea ofa kutoka kwa he-goats. Wanahitaji serious relationship with a serious person without any strings attachment.

i wish u were true!!!!!!
 
Mmmmmmmmmmh! NJOO TUKUPE OFA SIE UFURAHI!!!!!! Pesa ndogo unawazaaaaaaaa!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…