Wanawake wenye tabia hawafai

mwemweremwemwere

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2016
Posts
605
Reaction score
681
1. Mwanamke anakutembelea geto, unamwachia rimoti ya TV aweke chaneli anayoipenda, unakuta chapu mwenzio kaweka filamu za bongo muvi.

2. Mwanamke yeye ni wa kukubeep tu hapigi simu hata kama ulishampa hela ya kujiunga na vifurushi. Ukipokea tu simu yake ujue anaomba hela ajiunge tena. Kifupi ukiona simu yake basi jiandae kupokea kizinga nje ya hapo hapigi simu.

3. Mwanamke muongomuongo asiyeishiwa visingizio
Wanawake wenye tabia hizi na zingine zinazofanana nazo, wengi wao ni mizigo isiyo na msaada wowote. Ukitaka kufa mapema kwa jakamoyo wewe endeleza mahusiano na mwanamke wa hivi.
 
Walimwengu walikwisha niambia kuwa demu wangu mimi hafai(hafai),

Mimi nikawabishia nikaona wao ndio hawafai,

Hivi sasa me najuta sitaki demu sihitaji demu
 
1. Demu anakutembelea geto unamwachia rimoti ya TV aweke chaneli anayoipenda, unakuta chapu mwenzio kaweka filamu za bongo muvi.
Sasa mkuu wewe umempa remote achague anachopenda sasa kwann unalalamika?
 
hizo ndo tabia za mademu tofauti na apo labda kama uliyempa remote ni mke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…