Wanawake wenye shape na wanene ni opportunity

Wanawake wenye shape na wanene ni opportunity

Status
Not open for further replies.
Ndio maana wadada/wanawake hawaachi kutumia madawa&co ili tu wawaridhishe ninyi wanaume wapenda matipwatipwa...jamani tuwahurumie viumbe hawa!!!
 
Nyie ndio waharibifu mkikutana na ambao hawajui madhara ya madawa ya kichina mnawapoteza ili awe na shape kubwa akufurahishe.
 
inategemea unapenda nini.kuna wengine wembamba ndio mzuka wao,na kuna wengine manyamanyama ndio wanayoyapenda.kila mtu na chaguo lake
 
Hata cjui niko kundi gani?? Kazi ipo wallahi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom