kedekede
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 5,306
- 7,694
Wakuu poleni na mihangaiko yawiki nzima,na weekend bila bia naona mpo nyumbani na muda mwingi mashemegi wanawaoneni.Nimechunguza mwenyewe tu wakuu na nikafikia haya ninayoyaandika.Wanawake wenye midomo sampuli hii ni wagonvi na wanaongea sana,ukitaka kujua anza kumchunguza mkeo au girlfriend wako.Wale wenye midomo minene ni wapole na ni wavivu wa kuongea na ni wastaarabu!