Wanawake wenye kipato kikubwa wao wanaitaji mwanamme wakumpa Ulinzi ,Heshima ,Amani ,Furaha na Mashine tuu.Inawezekana vipato duni ndio sababu ya wanawake kua submissive kwa wanaume? Labda ndio maana wanawake wa kizungu(Western Europe) hua hawa fall kwa kuringishiwa gari au nyumba au pesa maana na yeye anavyo, wako very independent, verse zako tu kwenye kuimbisha
Majibu mengi ambayo huwa nataka kuchangia kwenye ishu kama hizi huwa nakuta ushawakilisha...salute mzeeCha muhimu ni kujua kama ww ndio umeoa sio umeolewa.
Mwanamke ukiona ana maneno sana anza kumkata makofi tu
Mwanamke ni mwanamke tu kwa mwanaume.Wanaume wenzangu wenye vipato vikubwa, vya kati, na vya kawaida, tupeane mbinu za kukabiriana na wanawake wa aina hii, maana wanajiamini sana, wasumbufu baadhi Yao huko ktk ndoa ni wababe Kama babazao, baadhi wana dharau, tena sio kitoto, pia kuwaokoa, kutokana na jeuri zao za pesa na elimu zao wengi wamekuwa wakipata wanaume wanaofanana nao, tofauti inakuwa ni jinsia tu, ( samahani Kama kuna ninayemkera) Nina maana hata wanaume wanaomiliki wanawake wenye vipato vikubwa wana walakini flani hivi...ni mbinu gani zitumike kwa mwanaume mwenye kipato cha kawaida aliye katika mahusiano/ ndoa na mwanamke aliyemzidi kipato.....bila kuwepo ile dhana ya mwanaume ndio kila kitu....wanawake wana plan za ajabu juu yetu, unagundua Hilo wakiwa pekeyao wanatujadili wakidhani hakuna anayeskia....hata wao wanatuwekea vikao si vibaya na sisi tukajadili mbinu mpya za kwenda nao sawa.
Baadhi wana dharau, tena sio kitoto, pia kuwaokoa, kutokana na jeuri zao za pesa na elimu zao wengi wamekuwa wakipata wanaume wanaofanana nao, tofauti inakuwa ni jinsia tu, ( samahani Kama kuna ninayemkera).
Nina maana hata wanaume wanaomiliki wanawake wenye vipato vikubwa wana walakini flani hivi ni mbinu gani zitumike kwa mwanaume mwenye kipato cha kawaida aliye katika mahusiano/ ndoa na mwanamke aliyemzidi kipato bila kuwepo ile.
Wewe si mmoja wao?Ngoja waje