Mwambie huyo dogoWee mwanamke akishakuwa huko tambua kuwa analika huyo...kwenye uzia weka rupia
Haujambo..?Pole sana
Niko poaHaujambo..?
Ulipotea au ulikuwa unaji update..?😂Niko poa
[emoji3] mbona nipo sanaUlipotea au ulikuwa unaji update..?[emoji23]
Labuda..😅 itakuwa wajificha.. vipi ule mu mmu umerudi...??[emoji3] mbona nipo sana
Bado naona wamegoma, napata stress sana mimi [emoji57]Labuda..[emoji28] itakuwa wajificha.. vipi ule mu mmu umerudi...??
Pole.. okay have a good day na heri ya kuukaribisha mwaka mpya vipi umeshaandaa sufuria na mwiko wa kupigia madebe..?Bado naona wamegoma, napata stress sana mimi [emoji57]
Ikifika saa 6 usiku natoka nje nasiliza madebe yanayopigwa na watu wengine.Pole.. okay have a good day na heri ya kuukaribisha mwaka mpya vipi umeshaandaa sufuria na mwiko wa kupigia madebe..?
Ha ha! Okay itakuwa vyema mi bila kupakizwa kwenye karandiga la polisi halafu ndugu zangu wakaja nitoa hapo ndo nitaona nimeupokea mwaka..😊Ikifika saa 6 usiku natoka nje nasiliza madebe yanayopigwa na watu wengine.
Asante, na wewe pia
Ha haaa kila la kheri.Ha ha! Okay itakuwa vyema mi bila kupakizwa kwenye karandiga la polisi halafu ndugu zangu wakaja nitoa hapo ndo nitaona nimeupokea mwaka..[emoji4]