UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,017
Eti mwanamke anakuimbia kila siku nakupenda kisa mna long relationship such as 10yrs then badae mnakuwa mke na mume sasa huyu mwanamke anakuambia every day anakupenda na kweli kwenye ANAPENDA
NASEMA hivyo kwamba anapenda kweli according na kutosikia wala kusikia siku aliyocheat na pia tukitofautiana anakuwa kama anapata kichaa yaani ni kuzimia kwenda MBELE na siku hiyo atalia na atajifungia ndani hata siku mbili akiomba msamaha kwa makosa yaliyotokea ukimsamehe anafurahi balaaa
Makosa yenyewe yeye ndo unakuta anayafanya kuwa makubwa then akiwa anaomba msamaha utamsikia kwanini nifanye hivyi Mimi (yeye) ni mjinga nisamehe tu sitorudia TENA kukuudhi basi unamsamehe
Shida sasa ni pale anaposhindwa kuonyesha UPENDO wake kwa vitendo yaani unamletea Zawadi nzuri umejitahidi kununua kwa gharama utasikia atakuambia tu asante sana over
Mfano Jana Mimi Niko safarini kaniomba kiasi kidogo cha fedha na Mimi anajua sina ila nikajiongeza sana kwa zaidi ya jitihada kwa kukopa nikamtumia lakini jibu akilonipa ni asante over
Mpaka Leo nimeapa hata akiniambia Nina shida kama sina sihangaiki wala kusumbua akili ya kutafuta coz naona kama hana shkrani
NB huyu ni MKE wangu na tuna WATOTO watatu sasa nashindwa elewa ndo wanawake WOTE wako hivi au ni huyu tu

lakini bado sijaweza kuelewa. ..Acha nirudie