Y yuzazifu JF-Expert Member Joined Oct 6, 2018 Posts 5,108 Reaction score 9,469 Sep 12, 2019 #1 wanawake wengi wanatabia hii, haijalishi yupo katika ndoa/strong relation mkifuatwa na wahitaj wengine huwa mnawapa nafasi, na kabla hamjanasika hua hamsemi nachojiuliza hua hamjui madhara ya hii kitu kabla? nb: bata ukimchunguza sana huwez kumla.
wanawake wengi wanatabia hii, haijalishi yupo katika ndoa/strong relation mkifuatwa na wahitaj wengine huwa mnawapa nafasi, na kabla hamjanasika hua hamsemi nachojiuliza hua hamjui madhara ya hii kitu kabla? nb: bata ukimchunguza sana huwez kumla.
Deva JF-Expert Member Joined May 29, 2018 Posts 1,238 Reaction score 1,819 Sep 12, 2019 #2 Huwa hawasemi kama wako occupied, hata akiwa ameolewa.
erca JF-Expert Member Joined Aug 29, 2019 Posts 311 Reaction score 336 Sep 12, 2019 #3 Nawaapa nafac wawe second choice ili nikitendwa niwe na pa kuegemea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nawaapa nafac wawe second choice ili nikitendwa niwe na pa kuegemea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]