Wanawake wengi wamejawa na tamaa, ukikutana nao unaweza kuwadhani wametoka familia za kitajiri kumbe ni wakuungaunga tu



yaan hata kama ni kweli hayamsaidiii mtu kitu..mbona na wanaume wanapenda kufake san maisha?haisaidii kitu.huu ushauri bora uutoe kwa ndg au rafiki wa karibu...!!nadhan ndo inafaa zaidi!ukijifunza kuwa positive maisha ni mepesi sana!
 
Ahahahahaha.
Mimi mke wa mtu anataka nimkopeshe laki moja. Hivi kwa unavyohisi ananitakia mema kweli?
 
Mimi zamani nilikuwa naogopa sana kupingwa nikianzisha uzi ila sasa nimekua ninachojali watu wasome ujumbe sindano iingie poa. Hata kama watu hawaoni pahali pa kulike au Kukoment ok
 
Fact
Hao wanaitwa slay queens

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…