VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Misura ya bandia,mikucha ya bandia,minywele ya bandia na hata 'ikulu' za bandia. Halafu kwa kudengua motoooooo.Na kutembea kwa madaha ndio wenyewe. Hawana tofauti na maroboti....wanakereketa sana
We acha tu mkuu.Elewa hivyo tu. Wangekuwa natural sijui ingekuwaje. Ndiyo maan nasi tunakuwa wasanii...nasi bandiaKwani wamekufanyaje the choosen???? Hebu tiririka kwanza!!
Uongo? Inawezekana wewe haumokudadadadadadadeki...hii sasa ndugu zangu mmezidi. Hamkuzaliwa nyie labda.
Sasa kwanini mringie uroboti?si uende kwa wasioa bandia.
kucha wabandike wao kuneng'eneka uneng'eneke wewe
kudadadadadadadeki...hii sasa ndugu zangu mmezidi. Hamkuzaliwa nyie labda.
Nawe pia roboti?wnaume bandia, kuongea bandia utakoma wewe tu.....................!!! kuringa lazima waringe kujiweka bandia ni gharama kweli kweli....
si uende kwa wasioa bandia.
kucha wabandike wao kuneng'eneka uneng'eneke wewe
kuneng'eneka lazima kwakua yeye ndo USER.si uende kwa wasioa bandia.
kucha wabandike wao kuneng'eneka uneng'eneke wewe
Full majanga!
Watoto wa kiume siku hizi kwa kunung'unika! Mpaka wanasikitisha.
Umeelewa vibaya dada. Hatunung'uniki.Tunawaambia ukweli.Mmezidi kuwa bandia na wachafuFull majanga!
Watoto wa kiume siku hizi kwa kunung'unika! Mpaka wanasikitisha.
tatizo customer service mbovu wakati maintanance cost is high!Full majanga!
Watoto wa kiume siku hizi kwa kunung'unika! Mpaka wanasikitisha.
kuneng'eneka lazima kwakua yeye ndo USER.
Lecturer hajakuambia suala hili?Kazi kwel kweli