Wanawake wengi mnafeli hapa

Bora wanaoexpose mapema vishida vya buku mbili tatu. Kuna mwingine anakaushaaaa mnafika Mbali Mbali kidogo ndo anaanza baada ya mwaka. Mizinga atakayokupiga utatamani hawa wa buku buku.
Huyo wa kusubiri mwaka ukiwapata wawili nipe mmoja
 
Mwanamke anataka kupata pesa faster nakirahisi = Mwanaume anataka kupata sex faster na kirahisi.
Ndio maisha lakini
 
Na ukiwa mwepesi kutoa anatangaza kwa shoga zake nimelipata buzi hilo linachunika hatariiii, kiufupi bwege flan hivi limbukeni,

Lol, binaadam sie mwenye kuridhika.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
Huwa najiuliza ni dunia nzima au labda ni huku kwetu ambapo hali ya uchumi ni dhoofu sana?
 
Na nyie wanaume mmbadilike!
Yaani unakutana na mwanamme anakununulia ka soda ka fanta orange, hata hujainywa ikafika nusu eti anaanza kujisemesha "Hivi hapa kuna vyumba vya kupumzikia kweli..."
 
Kabla hujamfata anaonekana wa kishua na karidhika sana.

Tena ogopa sana hizi mbuzi za Insta zinazopenda kupost zinaogelea au vyakula vya bar na hotel wakati zinashindiaga chips kavu na maji, zina njaa sanaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anataka nikate ndevu zote yani kuzichonga pia ataki
, kwanza alikua atulie tujuane vizuri tuelewane thn akishanizoea ndio alete mbwembwe zake, mtoa post hakukosea kwamba wanawake wanafeli mwanzo wa mahusiano kutokana na pupa zao, kuna mmoja ananiuliza eti nina accont ya bank
Kwan mtu akihitaji mchumba anakua hana chaguzi yaan yoyote yeye amzoe? Amekwambia umemvutia kosa lake liko wapi?

Lol, mbona 'endsam'

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh mbona kama umeandika katangazo hivi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna mmoja nimemtongoza siku ya kwanza, siku ya pili akalia shida ya 100K nikasema nisimpe, baadae tumechat akanikumbusha tena nikamuonea huruma nikampa 50K
Kakaa siku kadhaa akaomba 20K nikampotezea mazima, ndani ya wiki mtu anapiga mizinga hatari alafu ni muajiriwa wa siku nyingi tu.

Sitaki mwanamke atangulize shida maana hata mimi nina shida zangu na ndugu zangu wana shida pia


Sent using Jamii Forums mobile app
 


Sent using My COVID-19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…