NashangaaaKanga zilizojaa tele na zenye majina mazuri nije nivae hiyo.
Tatizo hamna uadilifuHahahah linapokuja swala hili kwa wanawake huwa nacheka sana, maana ukimwambia nataka niongeze mke anakujibu ukioa naondoka akae yeye.
Duh! Afadhali maana ujumbe unatakiwa uzingatiwe sio wavae tu.Wanakubali siku hizi ku shea naniliuuuu…
Hii haikuwa na soko sababu ya maneno yakemambo ya pwani hayo
Kanga zilizojaa tele na zenye majina mazuri nije nivae hiyo.
We wanaume wa SKU hiz hampendagi ujinga utaona nimevaa ukadhani nimemaanisha kesho nikaletewa mwingine bureee
Hahaaa. Umeonaee , anayefanya hivyo itabidi tumpime kwanza akili.Busara na hekima tele. Ni mburula tu aliyeolewa anaweza kwenda kuinunua kanga hii na kuivaa mbele ya mumewe au popote pale.
Hahaaa. Umeonaee , anayefanya hivyo itabidi tumpime kwanza akili.
Nakusalimu.
Wapendwa wangu hawajambo kabisaKabisa aisee! Ni dharau kubwa kwa mumewe.
Ahsante sana nipo poa kabisa namshukuru Mungu. Vipi wewe na wapendwa wako? Naona zimebaki dakika chache tu kabla ya kufuturu.
Wapendwa wangu hawajambo kabisa
Ndio bado muda kidogo. Karibu [emoji112]