Kazwala mkuu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,034
- 2,250
Kwa sababu ya ujumbe....au ujumbe hauna shaka nao?Kwanini mkuu
Utamaduni wa vazi au kilichoandikwa mkuu?Ikienda kuuzwa kwenye jamii za kilimo kwanza na ufugaji ni utamaduni wetu , zitavaliwa sana mkuu.
Wengine wanajilipua tuKwa sababu ya ujumbe....au ujumbe hauna shaka nao?
Wengine wanajilipua tu![]()
![]()
![]()
nilijua hauna shaka nao niseme nimeshapata mmoja, bado watatu.
Kilichoandikwa mkuu! Kitawasaidia katika mgawanyo wa majukumu ya siku !Utamaduni wa vazi au kilichoandikwa mkuu?
Ukweli usio zungumzwa.Kilichoandikwa mkuu! Kitawasaidia katika mgawanyo wa majukumu ya siku !
Unaweza kuivaa ndani ya siku tatu tu ikawa umesha peleka ujumbe kwa mume/mchumba wako na akaufanyia kazi.Mimi siwez kuivaa aisee
KwaniniMimi siwez kuivaa aisee
We wanaume wa SKU hiz hampendagi ujinga utaona nimevaa ukadhani nimemaanisha kesho nikaletewa mwingine bureeeUnaweza kuivaa ndani ya siku tatu tu ikawa umesha peleka ujumbe kwa mume/mchumba wako na akaufanyia kazi.
We wanaume wa SKU hiz hampendagi ujinga utaona nimevaa ukadhani nimemaanisha kesho nikaletewa mwingine bureee
Naogopa uke wenza, naweza vaa kwa nia njema mwenzang akadhan namaanishaKwanini
Hahahah linapokuja swala hili kwa wanawake huwa nacheka sana, maana ukimwambia nataka niongeze mke anakujibu ukioa naondoka akae yeye.Kanga zilizojaa tele na zenye majina mazuri nije nivae hiyo.
Kweli sio mchezo.Taraka hiyo bila karatasi na kalamu. ....mpaka makabur ya kwao. ..