Wanawake wengi hawataivaa hii

Hahahah linapokuja swala hili kwa wanawake huwa nacheka sana, maana ukimwambia nataka niongeze mke anakujibu ukioa naondoka akae yeye.
Ndio. Kwa sababu hakuna kinachouma kama ile umekaa na kujua leo kaenda kwa mwenzangu.
Ni ngumu kumeza aisee.
 
Pia siafiki kwani kunakuwa na kitu gani kikubwa mno wakati mke unaye.
Duh! Asikuambie mtu. Waliosema utatembea bucha zote lakini nyama ni ile ile hawakuingia deep kwenye conclusion yao. Hakika ubora wa nyama hutofautiana nakwambia. Hasa zile mbwembwe!!!!
 
Duh! Asikuambie mtu. Waliosema utatembea bucha zote lakini nyama ni ile ile hawakuingia deep kwenye conclusion yao. Hakika ubora wa nyama hutofautiana nakwambia. Hasa zile mbwembwe!!!!
Hahahaaa! Kwani si umwambie huyo mkeo naye akufanyie hizo mbwembwe ili utulizane.
Usione haya kumwambia mana naona ni kujitia majukumu yasiyo na msingi wowote.
 
Hahahaaa! Kwani si umwambie huyo mkeo naye akufanyie hizo mbwembwe ili utulizane.
Usione haya kumwambia mana naona ni kujitia majukumu yasiyo na msingi wowote.
Huko michepuko huwa hawasubiri kuambiwa. Ni full utundu bila chenga!!
 
Hahahaaa! Kwani si umwambie huyo mkeo naye akufanyie hizo mbwembwe ili utulizane.
Usione haya kumwambia mana naona ni kujitia majukumu yasiyo na msingi wowote.
Wengine wabishi hawakubali kuambiwa.
 
Ukiona mwanamke kavaa kanga ilioandikwa hivyo na kweli tayari wako wanne!... ujue yuko vizuri... sio wa spotispoti!...
 
Nimemuonyesha hii picha wife nikamwambia nimeipiga mahali zinauzwa nataka nimletee.....akanijibu kanunue upeleke huko huko, sasa sijui ni wapi!
 
mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu mie siiitaki kanga gani hiyo, nimechukia! ishindwe na ilegeeeeeeee kasha ipate nguvu itoweke machoni kwanguπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu wewe ni jipuuu

Naogopa uke wenza, naweza vaa kwa nia njema mwenzang akadhan namaanisha

Kanga zilizojaa tele na zenye majina mazuri nije nivae hiyo.

mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu mie siiitaki kanga gani hiyo, nimechukia! ishindwe na ilegeeeeeeee kasha ipate nguvu itoweke machoni kwanguπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hamtaki wenzenu wastiriwe! Hamjui mpo wengi na wenzenu wanataka kuitwa "mke wangu"[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Maumivu kabla ya matendo nan, mwanamke anaependa hayo teh teh teh teh thubutuuuu
 
Hahahaaa! Kwani si umwambie huyo mkeo naye akufanyie hizo mbwembwe ili utulizane.
Usione haya kumwambia mana naona ni kujitia majukumu yasiyo na msingi wowote.
Yaani uanze tuition tena wakati kuna ready made goods,,, kwanza ukimfundisha atahoji umeyapata wapi hayo,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…