Wanawake wengi hawataivaa hii

Ikienda kuuzwa kwenye jamii za kilimo kwanza na ufugaji ni utamaduni wetu , zitavaliwa sana mkuu.
 
We wanaume wa SKU hiz hampendagi ujinga utaona nimevaa ukadhani nimemaanisha kesho nikaletewa mwingine bureee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kanga zilizojaa tele na zenye majina mazuri nije nivae hiyo.
Hahahah linapokuja swala hili kwa wanawake huwa nacheka sana, maana ukimwambia nataka niongeze mke anakujibu ukioa naondoka akae yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…