Naopt kwa kweli na ujue tu kabla hatujazitafuta nyege nakupa ujumbe kabisaaIla kama nyege zimekamata haswa, huwezi kuopt hivo eti bora tusifanye. Utakubali tu kuliwa na ndom.
-Kaveli-
Unaanzaje kufunika utamu 😂😂😂
Ngoja niondoke hapa nisije haribu asubuhi yangu!Hahahaa, ila kusema ukweli kabisa... Mtelezo ni tamu mnooo. 😁😁
-Kaveli-
Hivi bado kuna kitu kinaitwa ukimwi? Nilishasahau.Kuna Mkoa mmoja nilienda bhas kule wananchi wanakwambia ukimwi ni kama mafuta ya kujipaka tu.
Watu wanajilipua tu na kuloweka. Na mbaya Zaidi hata uelewa wa umuhimu wa kupima na kujitambua hakuna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naopt kwa kweli na ujue tu kabla hatujazitafuta nyege nakupa ujumbe kabisaa
Mie mipira siwezi kwanza inaniwasha
Ni kweli kabisa hawapendi ukitaka uhamini jifanye unaenda na demu zen ukataka kula mzigo utasikia oh ndom ipo wapi mzee baba utasikia oh nimesahau utasikia poa tufanye tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi. Elimu itolewe zaidi kuhusu umuhimu wake. Na Jana ilikuwa ni Siku ya condoms duniani. Sijui bongo kama kulikuwa na function yoyote?
Sent using Jamii Forums mobile app