Wanawake wengi akili hazijatulia

Huyo mkenya mama yke aliolewa baada na kugundua buzi lake lina gari?!
 
Naomba wanawake mnijibu, kati ya mwanaume mwenye gari ya 11m, na mwanaume mwenye nyumba ya 50m, utapenda uolewe na yupi!!
 
Mi naangalia tu wadada wanavyogongwa na hao wenye magari na kuachwa!!

Wanaume nao ckuhiz hawataki mwanamke tegemezi ss kaa tu subiri mwenye gari
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…