Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
[emoji38]Hahaha ni kweli kabsa mkuu wengi tunapenda wale wanaume wanao vaa suruali kwa msaada wa Rambo na wanatukomesha mbona...
Njoo kwangu navaa bwangaHahaha ni kweli kabsa mkuu wengi tunapenda wale wanaume wanao vaa suruali kwa msaada wa Rambo na wanatukomesha mbona...
Mkuu ndo wewe kwenye avatar nmekupenda bure najaaa....Njoo kwangu navaa bwanga
kote hakufai
[emoji8] [emoji8]
[emoji360][emoji360]Mkuu ndo wewe kwenye avatar nmekupenda bure najaaa....
Mambo ya kubembeleza mwachie pilipili tu.Wanawake wa namna hiyo wasumbufu sana,sidhani kama kuna mwenye muda wa kupoteza kuangaikia wanawake badala ya maisha,binafsi sijui na sijawai kujishusha utu wang kisa kupenda au kushawishi kupendwa.
Napokutongoza ukileta pozi natembea.
Yaani! tena personally nahitaji maombi. Anaekupenda humpendi na unajua kuwa unapendwa. Kufanya maamuzi sasa!Hahaha ni kweli kabsa mkuu wengi tunapenda wale wanaume wanao vaa suruali kwa msaada wa Rambo na wanatukomesha mbona...