Wanawake wavaa mawigi hawajui mapenzi

Hahaha embu waache leo siku yao bwana..wafurahi..
 
Aaaah mi mmasai bana sitaki wewe naruka ruka...tulia nikulenge!!
 
Halafu ndo uko katikati ya game halafu anakwambia baby pull my hair please! Jaribu kupull ujionee yaan kichwa kama kung'utio la unga mashineni.
 
Chunguza mkuu aliyemnunulia wigi.....kama hujanunua we we Basi acha kulalamika!

But ufundi Wa mapenzi na wigi wapi na wapi braza? Mbona Hamna co_relation....
Pengine wig linamfanya ke ashindwe kukuruka ipasavyo kwa kogopa litapoteza muonekano wake mzuri, na pengine hawa wakina Mwajuma waliosuka twende kilioni hilo wao haliwasumbui kwahiyo wakiingia gemuni wameingia,na huenda mtoa uzi anamaanisha wakina Mwa J hawajaweka wigi bali wamesuka tu nywele zao. Labda ndiyo hivyo.
 
naona wanawake wengi wa JF wanavaa mawigi, utajua tu kwa kusoma comments zao!
 


Ha ha ha ha ha......acha ubahiri bhana na visingizio vya kitoto, mnunulie shemeji wigi naye aende na wakati. Wigi na mapenzi vinahusiana vipi???.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
 
Hongera sana kwa kuanzisha uzi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…