mkuu mimi mwenyewe imenikera sana,sijui kwanini wanawake wako hivi!Wana jamvi leo hii wanawake wametia aibu katika bunge la katiba kwa kutaka eti wapewe upendeleo katika ungozi wa mwenyekiti na makamo wa mwenyekiti, hiyo hoja imepelekwa na Asha Rose Migiro.badala ya kujadili katiba ilio wapeleka bungeni wanazusha malumbano ya ubinafsi!!!.inakera sana
Wana jamvi leo hii wanawake wametia aibu katika bunge la katiba kwa kutaka eti wapewe upendeleo katika ungozi wa mwenyekiti na makamo wa mwenyekiti, hiyo hoja imepelekwa na Asha Rose Migiro.badala ya kujadili katiba ilio wapeleka bungeni wanazusha malumbano ya ubinafsi!!!.inakera sana
na wewe ulikuwa unamtegemea huyo mama kwa lipi!Ametuangusha sana sisi wananchi ambao tunawategemea watuletee katiba mpya, badala yake wanalilia maslahi yao binafsi....
Ila wenje kawapa ukweli kama wana akili watajifunza
Wamechanganyikiwa..badala ya kudai upendeleo kwenye fulsa ili kurekebisha mfumo dume wamekua wanadai upendeleo kupata vyeo kitu imezalisha wamama wasio na uwezo kwenye nafasi za juu za uongozi nchini.Wana jamvi leo hii wanawake wametia aibu katika bunge la katiba kwa kutaka eti wapewe upendeleo katika ungozi wa mwenyekiti na makamo wa mwenyekiti, hiyo hoja imepelekwa na Asha Rose Migiro.badala ya kujadili katiba ilio wapeleka bungeni wanazusha malumbano ya ubinafsi!!!.inakera sana
Wamechanganyikiwa..badala ya kudai upendeleo kwenye fulsa ili kurekebisha mfumo dume wamekua wanadai upendeleo kupata vyeo kitu imezalisha wamama wasio na uwezo kwenye nafasi za juu za uongozi nchini.
Kuna mmoja kasema Ezekiel Oluoch asiitwe mwalimu ndani ya mjengo lkn Chenge aitwe Mtemi Andy Chenge aka vijicenti