Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
Tutabaki kuwa mahawara.....inatosha sana.
Ndoa sio lazima
Kwa hali ilivyo hata huo uhawara utaupata wapi?
Ungeondoa hizo sehemu zinazogusa imani zao kabla hawajaja kuleta fujo hapa. Mada nzima itageuzwa ya kiimani.
Qur an imeeleza kuwa SIKU ZA MWISHO TUTAWABAKA mmmh mungu atunusuru
Ungeondoa hizo sehemu zinazogusa imani zao kabla hawajaja kuleta fujo hapa. Mada nzima itageuzwa ya kiimani.
Biblia katika kitabu cha Isaya ilitoa unabii juu ya jambo hili.
Inasema itafikia wakati ambapo wanawake watamlilia na kumng'ang'ania mwanaume mmoja awaoe ,watamgharamia kila kitu ili mradi tu waitwe kwa jina lake.
Mungu pekee ndiye mwenye kuinusuru hali hii,hakuna jipya chini ya jua,yalifanyika enzi za sodoma na gomora yafanyika sasa.
Zamani zile hofu ya mzazi ilikuwa juu ya Mtoto Wa kike kuwa ataleta aibu ya kuzaa kabla ya ndoa,leo hofu ni Mtoto Wa kiume aibu na simanzi yake haibebeki moyoni mwa mzazi.
yupo shoga hapa Tz nilisikia kaamua kuacha ushoga na akaoa, sijajua kama hiyo ndoa bado inauhai ama ilishakufa
ninachojiuliza ni je? anaweza kupiga kinanda??
hapana jamanTutabaki kuwa mahawara.....inatosha sana.
Ndoa sio lazima
Msisahau kuwa usagaji upo, ngoma drooQur an imeeleza kuwa SIKU ZA MWISHO TUTAWABAKA mmmh mungu atunusuru