Wanawake Watanzania waletwa Kenya na kutelekezwa

Wakenya akili zenu mnazitoaga mnakokalia ....,, Ndo mana mnaonekanaga Mavi kwenye nchi za wenzenu..!! WATZ mama huruma ndo mana mnajazana TZ., Trump kila uchwao anawabebesha rambo mrudi makwenu..!!
 
Hao wakizaa na wakenya wabaki hukohuko mashinani kwenu.

Msituletee mbegu chafu upande huu.

Wezi, majambazi na mafisadi waliokubuhu wabaki hukohuko.
Tutawatia mimba nyie hadi mtakoma, pale Rombo wanapanga foleni wakija. Hiyo nchi mnahitaji mbegu zetu ndio muamke.
 
Kweli kabisa atadanganywaje na mkenya

Kuna wanawake Zaidi ya 300 wa kenya
ktk misitu ya somalia na wengi wali rubuniwa kupata maisha mazuri
Mwisho wasiku kule wanatumikishwa kingono na kila aina ya uchafu!!

Unaanzaje mtanzania kudanganywa na mkenya!
hawa wakirudishwa wapelekwe moja kwa moja Milembe
 
Tutawatia mimba nyie hadi mtakoma, pale Rombo wanapanga foleni wakija. Hiyo nchi mnahitaji mbegu zetu ndio muamke.
Haya nimaelezo ya kichaa tena mtu asiye jitambua kuropoka hayo!!
Kuna mamia na mamia yawanawake wa kikenya wakizalishwa na kufanyiwa Uchafu wa kila aina
 
Hao wakizaa na wakenya wabaki hukohuko mashinani kwenu.

Msituletee mbegu chafu upande huu.

Wezi, majambazi na mafisadi waliokubuhu wabaki hukohuko.
Hahaha umenena
maana Kwenye kila Wakenya 10 humo wezi ni 8
mbegu chafu na mbaya
 
Oooh no,pole Sana watz wenzangu mlikutana na Ibilisi.karibuni tena home
 
watanzania akili zenu nyepesi sana. unakutana kivipi na mtu kwa masaa machache alafu unamfuata ugenini eti unaolewa. huu ni uenda wazimu. siamini haya yatatokea kwa mtu akili timamu. watanzania mnayo kazi hapa! useless na akili kama nzi!!!!
 
usitukane watz,mbona kuna wakenya wameolewa tz na hatusemi vibaya,hâta Kenya wapo wanawake Wa aina hiyo,heshimu wanawake as unavyorespect sisters zako.what if ikitokea kwenye familia yenu?sijaona kitu spécial sana kwa wanawake wenu,wengi tu wako Kama hao wadada unaowabeza Tena Wako desperate sana.lakini hatujawahi wabeza life sometime ni kukosa na kujirekebisha.
 
Mie siongelei watu walioana kisawasawa. Ni juu ya hawa vichwa maji unakutana Na mtu Na baada ya masaa mawili unaongea harusi kama hawa watz wawili wa kiajabu! Wewe umeangalia hiyo video ya YouTube anasema alivyopelekwa guest akiliwa Bila kondom eti anaolewa ugenini Na mtu hamfahamu Na jamaa akaiingia mitini!!! Kwa habari yako hakuna wakenya sampuli ya watz desperado kiajabu hivyo!
 
wana passport??
mmejuaje ni wa tz?

inaonesha ni jinsi gani nchi yenu haiko makini huko border
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…