Kwani bado kuna watu mnataka mpenzi asie na kasoro? Mtengeneze mwanamke unaemtaka wanawake wote wana akili flan za kinanii sasa akimilikiwa na gentle mmoja aliemaliza mambo yake basi lazma ambadilishe..nyi watoto wa 28 26cjui mpoje🤔😂Tulishaongea haya, ona sasa.
Kwani bado kuna watu mnataka mpenzi asie na kasoro? Mtengeneze mwanamke unaemtaka wanawake wote wana akili flan za kinanii sasa akimilikiwa na gentle mmoja aliemaliza mambo yake basi lazma ambadilishe..nyi watoto wa 28 26cjui mpoje[emoji848][emoji23]
Kwa hiyo unawasaidiaje?
Usijaliii 😂😂Akikujibu niite aisee[emoji23][emoji23]
Usijaliii [emoji23][emoji23]
MLEVi Mmoja ndo tishio lako eh humu JF...au ni mtu mmoja?Nakala kwa MLEVi Mmoja [emoji851][emoji851]