Wanawake wasionivutia kabisa 2016

Umesahau moja, wale wanao tia shushu za kichwani kuongeza nywele zao asubuhi wanakuachia kwenye kitanda
 
Duuh! !!! Wanaume wa humu mmenishinda tabia
 
unatakiwa uwe natural! mnalazimisha kuwa na nyele ambazo hamna! iyo sio akili bhana! sikuizi tunapenda wanawake natural sio artificial!
wewe mwenyeweee asilimia 90 wana viwigi na mko nao unasema nn wewe wacha urongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…