Kondoa, Singida, MaunoArusha mkuu zipo pisi za atari za kimasai na kimeru
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wameru na wamasai weupe sio wengi kama wachagaArusha mkuu zipo pisi za atari za kimasai na kimeru
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Anipitie mwanamke awe na Shep yaan awe na unene ivi, tumbo nyamanyama, matakoo makubwa na mahips , awe mrefu au mfupi , awe mweusi au mweupe ,ila kikubwa awe na tumbo nyamanyama, matakoo makubwa na mahips .Kweli binadamu tunatofautiana, mimi hawa wadada wafupi wenye miili midogo midogo ndio they turn me on. Hawa warefu sinaga mzuka nao.
Hii Mpya...Wewe unaonekana ni mfupi na una inferiority complexity kwenye mfumo wako wa fahamu, kuanzia utosini hadi unyayoni.
Aliyekwambia Mwanamke kuwa mrefu ndio kigezo cha mtoto kuwa mrefu ni nani?!
Urefu ni outcome ya lishe nzuri labda kama baba na mama ni dwarfs yaani wale mbilikimo.
Ila kama ni binadamu wa kawaida asiye na aina yoyote ya Dosari then tegemea kuwa ni swala la lishe tu watoto watakua vizuri sana. Urefu unakuwa stimulated na hormones za ukuaji yaani HGH. Sasa wewe labda kama unataka kuunganisha koo na akina Masawe ila unaweza hata kuoa mlugulu na mtoto akaja kuwa tolu hautaamini.
Halafu useme k_vant ni nzuri ..kwa staili hii...huyu anaonekana ni wale wanafunzi wanaosumbua wenzao darasaniHii Mpya...
Mpya mjini!!
Unaweza kuheshimika bila shida unachotakiwa ni kuwa mkali bila sababu. Yaani muda wote wewe umekunja ndita na unaongea kwa ukali kila mtu atakuheshimu.Hapo kwenye ufupi sio ishu tupo pamoja
Ukiwa mfupi hata uwezekano wa kuheshimika ni mdogo [emoji23]
Mpya eneo gani sasa?Hii Mpya...
Mpya mjini!!
Huna adabu tu. Me ni mkubwa kwako na nimeona mengi sana halafu uaniletea ligi. Dogo, ntakupa makonzi.Halafu useme k_vant ni nzuri ..kwa staili hii...huyu anaonekana ni wale wanafunzi wanaosumbua wenzao darasani