The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,798
Demu mmene hata kwa bunduki sipigi.Mademu wanene, nilishaagana nao...vimodo au wastani ndio habr ya mjini...pole sana Aulu, hahah
Ni mizigo. Mademu vibonge ni wazuri kuwaangalia kwenye nguo, wakiwa wamevaa nguo ila sio watamu kabisa.
Sio flexible, minyama uzembe, wazito, minofu minofu, mistari ile ya ubonge nk.
Mwanamke bonge staili pekee unaweza kumpiga ukawa comfortable ni ile staili ya serikali, kifo cha mende.
Mimi mabonge hapana.


