Wanawake wanaweza hebu muone huyu

Wanawake wanaweza hebu muone huyu

19f8bb0a501b405a0336a7c8ee553d42.jpg
Hata kama amebeba pumba, laiti ningemjua bila kupindisha maneno ningempa 10,000/= anajituma
 
Kama wanatubeba usiku kucha tangu tuwaoe na wengine uzito wetu ni zaidi ya hilo gunia, atashindwaje hilo gunia la kahawa?!!
 
Wanawake wa Dar wakiiona hii picha lazima watalia machozi mengi!
 
Hii ni ishara ya maisha kuwa magumu, marais wote waliopita kasoro Ngosha wamama hawakuteseka kiasi hiki. Huu si ujasiri ni shida za watanzania walala hoi.
 
Hii ni ishara ya maisha kuwa magumu, marais wote waliopita kasoro Ngosha wamama hawakuteseka kiasi hiki. Huu si ujasiri ni shida za watanzania walala hoi.
Mkuu, huku sio kuteseka! Hii ni haki sawa kwa wote yaani 50/50 wanawake kwa wanaume. Nafarijika sana kuwaona wanawake wanaopambana kuwin maisha.
 
Back
Top Bottom