Akili ipi mama? Naomba nieleze hata kiduchu![emoji4]Sisi wenyewe hatujui tunataka nini sawa, alafu aliyekwambia sisi tuna mwl nani ushaona syllabus yetu, Umeambiwa uishi na sisi kwa akili sema mnakurupuka tu
Ni siri nzito sana, unakifua cha kuyatunza
Hapo sasa!!Achana na wanawake fanya mambo mengine
😂😂😂😂😂 mwambie aanzishe Uzi wake tukamjibie huko
Ukiona hivyo Kuna sehem umekoseaWanawake cjui wanatakaga nini katika mahusiano,ukimpenda na kumjali kwel atagongwa nje na vijamaa vya ajab ajab,ww atakuona huna maana.Ukiwa bahili na usieeleweka papuchi utapewa vizur sana,utaitwangaa,utaichakataa sawa sawa kadri uwezavo mpaka utaisusa mwenyewe,mwishoe akistuka atakwambia ww bahili then atasepa! Kweli nimeamini mwalimu wa mwanamke ni kipofu!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]dah saaawaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwambie aanzishe Uzi wake tukamjibie huko
wanawake bhana nawaoneaga huruma sana ni jamii ya watu ambao hawajawa civilized.Wanawake cjui wanatakaga nini katika mahusiano,ukimpenda na kumjali kwel atagongwa nje na vijamaa vya ajab ajab,ww atakuona huna maana.Ukiwa bahili na usieeleweka papuchi utapewa vizur sana,utaitwangaa,utaichakataa sawa sawa kadri uwezavo mpaka utaisusa mwenyewe,mwishoe akistuka atakwambia ww bahili then atasepa! Kweli nimeamini mwalimu wa mwanamke ni kipofu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Washenzi mnoo kakaMadem wengi wanazengua,ukitaka kumvua anadai mpaka ndoa lkn pesa hasubir mpaka ndoa,anataka apo apo!
Sent using Jamii Forums mobile app