Wanawake! Wanawake!

Wanawake! Wanawake!

Bwii89

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
1,001
Reaction score
1,025
Wanawake cjui wanatakaga nini katika mahusiano,ukimpenda na kumjali kwel atagongwa nje na vijamaa vya ajab ajab,ww atakuona huna maana.Ukiwa bahili na usieeleweka papuchi utapewa vizur sana,utaitwangaa,utaichakataa sawa sawa kadri uwezavo mpaka utaisusa mwenyewe,mwishoe akistuka atakwambia ww bahili then atasepa! Kweli nimeamini mwalimu wa mwanamke ni kipofu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawana mwalimu ndo maana hawana silabasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake ni baraka wanatuzalia watoto
 
Jitafakari kwanza anafuata nini huko? Inawezekana wewe hutimizi haki ya yeye kutoka kwao kuja hapo,maana kama unaacha budget kubwaaaaa wakati kwao hakuacha njaa halafu kwabed ni shida lazima atafute msaada nchi jirani
 
Madem wengi wanazengua,ukitaka kumvua anadai mpaka ndoa lkn pesa hasubir mpaka ndoa,anataka apo apo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake cjui wanatakaga nini katika mahusiano,ukimpenda na kumjali kwel atagongwa nje na vijamaa vya ajab ajab,ww atakuona huna maana.Ukiwa bahili na usieeleweka papuchi utapewa vizur sana,utaitwangaa,utaichakataa sawa sawa kadri uwezavo mpaka utaisusa mwenyewe,mwishoe akistuka atakwambia ww bahili then atasepa! Kweli nimeamini mwalimu wa mwanamke ni kipofu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuishi nao kwa akili za hali ya juu.
Akili ni combination ya vitu hivi chini.
1. Psychology na hekima.
2. Uwezo
3. Nguvu.

Maelezo baadae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom