Wanawake wanawafanyia nini wanaume wakisha waoa?

Wanawake wanawafanyia nini wanaume wakisha waoa?

Nashukuru aisee!!!
Sitajaribu kuacha kutokuoa.
Hahaaaa, Duuh
 
mambo kama hayo ya kutetema kama nimebeba jenereta mbele ya mke sitayaweza kabisa bora nibaki single tu
 
mambo kama hayo ya kutetema kama nimebeba jenereta mbele ya mke sitayaweza kabisa bora nibaki single tu
Alafu ni Jambo linaloshangaza Kabisa.
Yaani unajiuliza inawezekanaje mwanamke uliyetongoza mwenyewe anakushinda kiasi cha kutetemeka Ukiwa unapokea simu?
Hii taasisi nayo ina Siri zake sio kawaida.
 
Ndoa ina siri nzito jaman ukitaka kujua ilo ingia kwenye ndoa uone jinsi watu wanavyotetema kama nyimbo ya harmonize
 
Back
Top Bottom