Wanawake wanauma, asikwambie mtu

Wanawake wanauma, asikwambie mtu

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
6,716
Reaction score
13,704
Kuna jamaa kitaa ni bodaboda ana mke na mtoto mmoja, mke wake alipoondoka kwa kugombana,jamaa sasa amekuwa mtu wa mawazo kila muda,anakuja na kujiinamia tu,

Mipangilio wa maisha yake imebadilika sana, boda haendeshi tena,siku zingine huwa namhurumia nampa 1k anakula wali mgahawani,wakati mwingine anaenda kwa maboda wenzake kula. Amekuwa mtu ambaye hana mbele wala nyuma. Ana msongo mkubwa wa mawazo. Wanawake wanauma kinoma
 
Maumivu huwa yanakuja na mafunzo, acha ajipatie darasa!
 
Kuna jamaa kitaa ni bodaboda ana mke na mtoto mmoja, mke wake alipoondoka kwa kugombana,jamaa sasa amekuwa mtu wa mawazo kila muda,anakuja na kujiinamia tu,

Mipangilio wa maisha yake imebadilika sana, boda haendeshi tena,siku zingine huwa namhurumia nampa 1k anakula wali mgahawani,wakati mwingine anaenda kwa maboda wenzake kula. Amekuwa mtu ambaye hana mbele wala nyuma. Ana msongo mkubwa wa mawazo. Wanawake wanauma kinoma
Mwanaume ukiwa dhaifu lazima mwanamke atakuuma tuu.. kitu ambacho wanaume tunasahau ukianza harakati za mademu lazima furaha yako uikabidhi kwa muumba wako ili akukumbuke katika siku za gadhabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom