Wanawake wanauchukulia umalaya kama "HUSTLING"

Wanawake wanauchukulia umalaya kama "HUSTLING"

Wale wadada pale Riverside wanasubiri wanaume, kwahiyo wanaume wasipoenda hamna shughuli

Ni sisi wanaume ndo tumewafanya wanawake waamin ukimtongoza akakukbalia ni jukum lako kumhudumia

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wao ni wachumba za watu, wake za watu na wengi wamekimbia ndoa zao. Kwa hiyo wanatafuta wanaume waliowaacha nyumbani.
 
Back
Top Bottom