redpill evengalist
Member
- Sep 9, 2024
- 73
- 388
Wanao waabudu wanaitwa simps, once mwanaume akishajua jamii doesnt give a shit about him ataamka na hatofanya huo ushenziWanawake walio wengi wanapenda kuabudiwa , na kama wewe ni mwanaume ambae umeshaamua kuto abudu mwanamke yoyote, jua wewe ni mwanaume makini sana.
Wanawake wengi wanahisi kwakua ni wanawake basi kila mwanaume inabidi amjali kama kiumbe cha kipekee , kumnyenyekea na kama huyo binti amejaliwa urembo kidogo hali ndio inakua mbaya Zaidi.
hio ndio mindset iliopo kichwani hasa hasa kwa hawa watoto wa buku mbili (2000) wakifuatiwa na hawa mashangazi ya 95 to 80.
Wanawake walio wengi humu hasa hawa akina Jadda mindset zao ni kwamba mwanaume inabidi ateseke na kuhangaika sana ili kumfurahisha mwanamke .
wtf! kwamba mwanaume inatakiwa apigike kisawasawa ili wao waishi maisha bora ya anasa.
Na matumaini yao makubwa ni kuona wanaume wana waabudu wao, nahata kuwa nyenyekea pale inapo bidi.Jambo la kusikitisha ni kwamba hata ikitokea mwanaume akawa mwema kwa kiasi hicho wanacho taka bado wata muona fala na malipo yake ni dharau ,cheating na kejeli za hapa na pale.
Na hapo ndio unakuja ukweli kwamba usiwe mwema kwa mwanamke kiasi hicho mana unamfanya kujuona kua yeye ni mungu mtu ambapo mwisho wake utakua wewe mtumwa na atakutumikisha kisawasawa.
Hakuna mwanaume anaeteseka kwenye mikono ya mwanamke kama mwanaume ambae ameamua kumuabudu mwanamke , kumtimizia kwa kila atakacho hitaji.
NEVER EVER BE A NICE GUY TO A WOMAN ,IT ALWAYS DOESN’T END WELL FOR YOU.
BE WISE.
EARTH IS HARD
Mnapenda kuabudiwa acheni hizo🤣We sema kweli 🤭?
Kabisa naunga mkono hojaKwa malalamiko haya, minaona huu ni uzi wa mvulana ambae hajajifaham akimlalamikia msichana ambae hajajifaham.
Mwanamke anae jifaham kamwe hawezi akawa juu na hawezi akanyenyua sauti yake mbele ya mume wake.
Mwanamke anaejifaham siku zote atakua mtii na mume wake atampenda kwa dhati.
Kungalikua na ruhusa ya likes 1,000,000 ningekuzawadia, lakini mwisho 1Wanawake walio wengi wanapenda kuabudiwa , na kama wewe ni mwanaume ambae umeshaamua kuto abudu mwanamke yoyote, jua wewe ni mwanaume makini sana.
Wanawake wengi wanahisi kwakua ni wanawake basi kila mwanaume inabidi amjali kama kiumbe cha kipekee , kumnyenyekea na kama huyo binti amejaliwa urembo kidogo hali ndio inakua mbaya Zaidi.
Hio ndio mindset iliopo kichwani hasa hasa kwa hawa watoto wa buku mbili (2000) wakifuatiwa na hawa mashangazi ya 95 to 80.
Wanawake walio wengi humu hasa hawa akina Jadda mindset zao ni kwamba mwanaume inabidi ateseke na kuhangaika sana ili kumfurahisha mwanamke .
wtf! kwamba mwanaume inatakiwa apigike kisawasawa ili wao waishi maisha bora ya anasa.
Na matumaini yao makubwa ni kuona wanaume wana waabudu wao, nahata kuwa nyenyekea pale inapo bidi. Jambo la kusikitisha ni kwamba hata ikitokea mwanaume akawa mwema kwa kiasi hicho wanacho taka bado wata muona fala na malipo yake ni dharau, cheating na kejeli za hapa na pale.
Na hapo ndio unakuja ukweli kwamba usiwe mwema kwa mwanamke kiasi hicho mana unamfanya kujuona kua yeye ni mungu mtu ambapo mwisho wake utakua wewe mtumwa na atakutumikisha kisawasawa.
Hakuna mwanaume anaeteseka kwenye mikono ya mwanamke kama mwanaume ambae ameamua kumuabudu mwanamke , kumtimizia kwa kila atakacho hitaji.
NEVER EVER BE A NICE GUY TO A WOMAN, IT ALWAYS DOESN’T END WELL FOR YOU.
BE WISE.
EARTH IS HARD
Ishi nao kwa akili kijanaWanawake walio wengi wanapenda kuabudiwa , na kama wewe ni mwanaume ambae umeshaamua kuto abudu mwanamke yoyote, jua wewe ni mwanaume makini sana.
Wanawake wengi wanahisi kwakua ni wanawake basi kila mwanaume inabidi amjali kama kiumbe cha kipekee , kumnyenyekea na kama huyo binti amejaliwa urembo kidogo hali ndio inakua mbaya Zaidi.
Hio ndio mindset iliopo kichwani hasa hasa kwa hawa watoto wa buku mbili (2000) wakifuatiwa na hawa mashangazi ya 95 to 80.
Wanawake walio wengi humu hasa hawa akina Jadda mindset zao ni kwamba mwanaume inabidi ateseke na kuhangaika sana ili kumfurahisha mwanamke .
wtf! kwamba mwanaume inatakiwa apigike kisawasawa ili wao waishi maisha bora ya anasa.
Na matumaini yao makubwa ni kuona wanaume wana waabudu wao, nahata kuwa nyenyekea pale inapo bidi. Jambo la kusikitisha ni kwamba hata ikitokea mwanaume akawa mwema kwa kiasi hicho wanacho taka bado wata muona fala na malipo yake ni dharau, cheating na kejeli za hapa na pale.
Na hapo ndio unakuja ukweli kwamba usiwe mwema kwa mwanamke kiasi hicho mana unamfanya kujuona kua yeye ni mungu mtu ambapo mwisho wake utakua wewe mtumwa na atakutumikisha kisawasawa.
Hakuna mwanaume anaeteseka kwenye mikono ya mwanamke kama mwanaume ambae ameamua kumuabudu mwanamke , kumtimizia kwa kila atakacho hitaji.
NEVER EVER BE A NICE GUY TO A WOMAN, IT ALWAYS DOESN’T END WELL FOR YOU.
BE WISE.
EARTH IS HARD
I second you 🙏Wanawake walio wengi wanapenda kuabudiwa , na kama wewe ni mwanaume ambae umeshaamua kuto abudu mwanamke yoyote, jua wewe ni mwanaume makini sana.
Wanawake wengi wanahisi kwakua ni wanawake basi kila mwanaume inabidi amjali kama kiumbe cha kipekee , kumnyenyekea na kama huyo binti amejaliwa urembo kidogo hali ndio inakua mbaya Zaidi.
Hio ndio mindset iliopo kichwani hasa hasa kwa hawa watoto wa buku mbili (2000) wakifuatiwa na hawa mashangazi ya 95 to 80.
Wanawake walio wengi humu hasa hawa akina Jadda mindset zao ni kwamba mwanaume inabidi ateseke na kuhangaika sana ili kumfurahisha mwanamke .
wtf! kwamba mwanaume inatakiwa apigike kisawasawa ili wao waishi maisha bora ya anasa.
Na matumaini yao makubwa ni kuona wanaume wana waabudu wao, nahata kuwa nyenyekea pale inapo bidi. Jambo la kusikitisha ni kwamba hata ikitokea mwanaume akawa mwema kwa kiasi hicho wanacho taka bado wata muona fala na malipo yake ni dharau, cheating na kejeli za hapa na pale.
Na hapo ndio unakuja ukweli kwamba usiwe mwema kwa mwanamke kiasi hicho mana unamfanya kujuona kua yeye ni mungu mtu ambapo mwisho wake utakua wewe mtumwa na atakutumikisha kisawasawa.
Hakuna mwanaume anaeteseka kwenye mikono ya mwanamke kama mwanaume ambae ameamua kumuabudu mwanamke , kumtimizia kwa kila atakacho hitaji.
NEVER EVER BE A NICE GUY TO A WOMAN, IT ALWAYS DOESN’T END WELL FOR YOU.
BE WISE.
EARTH IS HARD
Natafuta Ajira masomo yako yameanza kuwaingia watu, sikuhizi upumzike, wanafunzi wako wakakuwa wanatoa postsWanawake walio wengi wanapenda kuabudiwa , na kama wewe ni mwanaume ambae umeshaamua kuto abudu mwanamke yoyote, jua wewe ni mwanaume makini sana.