Wanawake wanaovaa namna hii wana ulevi wa ngono

Wanawake wanaovaa namna hii wana ulevi wa ngono

Huyo mzungu wa harmo ni kawaida kwa wazungu kuvaa nguo fupi,lakini wabongo wengi wadangaji yu

Umenikumbusha cafeteria UDSM, mzungu akiingia na ndala ruksa, mbongo unafurumshwa.

Nilikaaga Hall 4 jirani na chumba cha wazungu, jioni siku nikitaka bifu nawalia timing wakitoka na ndala natoka nao na mimi nimevaa ndala na pensi huku tunapiga story, mijamaa inaniacha.

Siku nikienda alone no ndala nafukuziwa mbali...
 
Huniambii kitu! Kila mwanamke anayevaa hivi ni kahaba, ni fuska, ni Malaya, ni mhuni, .n.k.

Nafahamu kuna watakao kuja na vijisabab ama ijisingizio uchwara kwamba ni uhuru wa mvaaji, ni chguo la mvaaji, n.k lkn ukweli ni kwamba ni ifska, uhuni na ukahaba ndiyo chqnzo cha uvaaji huu.

View attachment 769621 View attachment 769621Unamuonyesha nani matiti? View attachment 769622Kweli ?!!!! Unaanzaje kuvaa kivazi kinacho zichora nyeti kiasi hiki? View attachment 769623Huyu akiwa chumbani atavaaje, kama nje tu amevaa hivi? View attachment 769624Huyu 80% ya mwili wake uko wazi. So what?? View attachment 769625Huyu anatuonyesha nini mapaja 95% yako nje.

N.B
sexless ni taasisi ya kurekebisha tabia
Shida yako nini? Fedhea wazipata wao na utu wake. Achana nao! Wengi wao huanzia nyumbani, wazazi huwanunulia watoto vinguo vya ajabu ajabu, leo wamuona malaya, wamezoeshwa tangu utotoni. Potezea tuu!
 
Kihalisia ww si mungu ukaaza kuwahukum watu kwa uvaaji wao cha msingi maisha u ni kuchagua kila mtu ana chaguz zake
 
ndo maana hatuna nguvu za kiume huyo atakusisimua nini tena kama kila kitu ushaona
 
Wadada wakikrist wanautetezi wao juu ya mavazi haya, ilimradi tu wayavae, eti unawasikia wakisema "Dini sio Mavazi" .
 
Umenikumbusha cafeteria UDSM, mzungu akiingia na ndala ruksa, mbongo unafurumshwa.

Nilikaaga Hall 4 jirani na chumba cha wazungu, jioni siku nikitaka bifu nawalia timing wakitoka na ndala natoka nao na mimi nimevaa ndala na pensi huku tunapiga story, mijamaa inaniacha.

Siku nikienda alone no ndala nafukuziwa mbali...
nimecheka balaaa
 
Back
Top Bottom