moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,006
Wanawake wengi wanaopata ujauzito na kutaka kushusha injini wanaangukia katika mawazo mgando na wengine kiafya.
Wanawake wengi kwanza hufikiria hivi:
1.Jamii itamuonaje amepata ujauzito kabla ya kuolewa kwahiyo atajitahidi atoe ili asijekuonekana Malaya
2.Wazazi wanaweza kuchukua uamuzi tofauti juu ya binti yao kupata kifurushi mapema kabla ya muda wa ndoa.
3.Kujinyima fursa ya kuolewa wengi wanawaza kuwa akibeba ujauzito basi ndio atakua ashafunga milango ya kuolewa kwahiyo anaona bora atoe ili asijifungie fursa ya kuolewa.
4.Wachache ndio hutoa kwa sababu za kiafya hapa katika 100% basi 2%
Wanawake punguzeni kushusha injini sababu ya mawazo mgando mnayokuwa nayo.