Basi tunatofautiana, mie mwenzenu naendesha gari j3 hadi ijumaa, so huwa nachoka, ninachofanya kama jmosi nataka kwenda sehemu wala sihangaiki na gari nalinapaki nalo lipumue, najipandia zangu daladala, nikasikie na visa vya kwenye daladala, jumapili nitaendesha kwenda kanisani na familia nikirudi napaki, kama nitatoka wala sitoki na gari ni daladala au bodaboda, huku kwetu bado bajaji sio nyingi. Hao wake zenu wenye misele na magari wikiend ni malimbukeni tu