SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,615
- 929
- Thread starter
-
- #21
hana matatizo na mke wake kama yapo ni ya kawaida tu kama ya watu wengine. Jamaa ni mstaraabu sana, anatamani week end awe na mke wake home lkn mke ndiyo hivyo tenaMwambie rafiki yako asolve matatizo ya ndoa yake.
Asisingizie wanawake wenye magari
Evelyn Salt kaamua leo kupigilia misumari ya motoTatizo sio kuwa na magari ila wake zenu ndo matatizo
poleni....
inabid kunyang,anywa hayo magar kwa lazima
vipi mamaa unahusika?okei!!
kumbe ndiyo hivyo ehee!Kina mama wa kikundi watajuaje na yeye kajikomboa?
tangu nimnunulie gari wa kwangu nimepumua mno safari za weekends! yani nilikuwa sipumui, cha muhimu nilimwomba tu anilindie heshima yangu na usalama wa gari
ushauri mzuri mkuuNunua gari nyingine kila mtu atoke na yake
Sawa nimekupata bantu ladySi kweli ni tabia ya mtu mwenyewe anapenda kuzurura na gari. Hivi siku hizi mfano Dar mabarabara yalivyofungwafungwa, mafoleni kuna raha ya kuzurura bila kwenda sehemu za msingi.
Ila nimecheka hapo anapeleka watoto hospitali japo hawaumwi. Akilizoea ataacha ataona kitu cha kawaida tu.
Hilo ni jambo la kweli kabisa maana hata mie linanisumbua sana. afu kuna hiki kitu unakuta mwanamke anaendesha gari kavaa min sketi afu mapaja yote nje ukimwambie ugovi yani kila siku tunagombana sijui nimfanyeje jamani?
Hakatazwi kutoka ila mpaka mume anasimulia nadhani safari zenyewe tena nyingi siyo za maana. Au wewe miss chagga umeona ni sawa?Ila wanaume loh... sasa asitoke?
Mume anashindwaje kukemea safari zisizo za maana kwa mkewe?Hakatazwi kutoka ila mpaka mume anasimulia nadhani safari zenyewe tena nyingi siyo za maana. Au wewe miss chagga umeona ni sawa?
kumbe ndiyo hivyoHeheheee..... Kuzurura ni tabia tuu ya mtu!!
Hata asipokuwa na gari atapanda bajaji au bodaboda ili mradi tu azurure..!!