Wanawake wanaodharau watu soma hapa

ushauri mzuri kwa mabinti wanaowaacha maboy wao na kukimbilia kwa matajiri.
kutulia na mmoja ndio sahihi. kupata majaliwa.

kwani hao maboy ndo wazima? swala hapa ni kupima kabla ya mahusiano, kuplay safe au kuacha kabisa zinaa. tatizo wa2 wengi wana assumption kwamba waathirika ni wenye hela na mabosi hata kapuku wanao tena hao ndo wengi 2.
 

Mkuku umenena kweli,alafu ndo wananashwa na ujanja wote unaisha inabaki aibu.
 

Watoto wa mujini, ni majini.
Alikutana na jini mwenzie.
Watu wa dizain hii ulaanika,
Penda mtu, husipende mali.
 
ha ha ha ha ha!!!!!! meseji sent and delivered japo ni ya kutunga na imekaa kama zile hadithi zenye fairytale endings........

watu wengine wanatunga story ili kutisha wengine................

wapo wengine waliofanya kama huyo dada na maisha yapo supa tu............

ni mawazo yangu tu.
 
Hii n story ya kutunga sabab m2 aliyezaliwa 1987 mmh c anawez kuwa na 26yrs 2 hv inakuaje aseme amechelewa kuolewa .? Imenikata stimu ila inafundsha bt kuna vi2 vingi amedanganya n bora angesema 2 mada yake inagusa nin
Inawezekana 26 alikuwa anajiona kachelewa...unajua most of wapendwa hawajasoma, so age ikivuta kidogo tu wao mawazo ni kuoana ; fanya utafiti mdogo utagundua wanaoana wakiwa wadogo wadogo. Kumbuka mwenzio alikuwa kiongozi wa sifa so possibly she wanted to be a role model kwenye kuolewa pia.
Yes binti kakutwa na majanga but design shule haikumsaidia..one date na yes will marry u..shabash.
Aendelee kutoa wosia kwa watoto wa mujini coz wasio tumia akili kama yeye..coz nchi imejaa mabinti wakurupukaji na wapenda shortcuts
 
Kiukweli hadithi inafundisha sana. Kuna mmama flani kaokoka lkn mambo anayofanya sijui kama atapita salama huko as per Heaven on earth said cheza salama. Japo hadithi imeonyesha tofauti ya mwenye elimu ya chuo na secondary bado jambo kubwa ni uaminifu kwa nafsi yako na hasa anayesema ameokoka anapaswa kuwa kweli ameokoka na si kujihudhurisha tu kwenye makundi hayo ya wacha Mungu. Ngoma waweza kuipata popote , unaweza kuolewa/kuoa mtu sahihi na mwaminifu lkn kumbe ulibugi step tumuombe Mungu atusaidie mno ili tuufike mwisho wetu salama bila lawama. Kuna wanandoa flani walikua wakipendana sana mpaka utatamani maisha yao. Sijui nani aliuleta ugonjwa kwenye ndoa ile manake hawakuuguza mgonjwa , wala kupata ajali walipopimwa wakautwa positive , mwanamke hakumsamehe mumewe mpaka wanakufa. Inavyoonyesha mume alikua na habari ya kando . Ikumbukwe kua mwenye nao hana alama na wala huwezi kumjua kwa macho na wakati mwingine hata vipimo tulivyonavyo hudanganya . Kuna watu kadhaa walipimwa na kukutwa negative lkn mara tu walipoland huko dunia ya kwanza na kwenda check afya wakakutwa wanao so tumuombe tu Mungu ugonjwa huu ni mbaya.
 
Last edited by a moderator:

Mbona posibo kabisa kwa midemu yetu ya siku hizi yakiona gari uwezo wa kufikili unashuka na unaweza kulipuliza hata hadharani.
 

hizi tamaa hizi zinatuua
heri ya yule hohe hahe alikua
na mapenzi ya kweli dah!!

...halafu huyo mlalahoi alokataliwa kipindi hicho, kwasasa ana BINGO ya kufa mtu kwa mujibu wa dada (muhanga)muathirika...
 
...halafu huyo mlalahoi alokataliwa kipindi hicho, kwasasa ana BINGO ya kufa mtu kwa mujibu wa dada (muhanga)muathirika...

mungu kwani anakulaga ugali basi
ajibebe na gonjwa lake atajiju!!
 
dismynder1 nataka nikutoe out...but kabla cjakutoa out will u marry me? Nisije nikaingia gharama za bure...

hahahaaaa!!hiyo out yako
unaweza kuja kuweka tangazo huku bure nakuogopa
mi chitaki kuolewa bana,kwanza we bahili kabisaaaa!!
 

Mhh.....
 
mhhhh jamani wa mitandaoni ndio wengi mhhhh so sad wengine wamerukaaaaaaa weeeeeee wamechimba chimba wee lakini ngoma noooooo we wakisani kaja kukuchukulia kanisan mkamtukuzaaaaa munguuuuuuu weeeeeee maskini huruma jamani maisha kila mtu alivyopangiwaaa
 
Simulizi nzuri inafundisha!Ila huyo wa form four angekua na bisahara kubwa na pesa bi dada asingeangalia kiwango chake cha elimu.Cha msingi ni kumuomba Mungu akupe mume anaekufaa!
Nina marafiki zangu wawili natamani sana wangesoma hapa labda ingewabadili tabia maana mmmmh ndo walewale unacha mkaka ulotoka nae mbali mwenye nia ya dhati unadandia wenye magari na wanaowaandikia cheki kila wakivua chupi hainiingii akilini hata kidogo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…