Wanawake wanamambo mengi hebu ona

Ndiyo maana unaambiwa usiwafikirie sana wanawake kwani wanaishi maisha ya maigizo, si unaona ya Wema na wizi wa umeme, maji huku kila siku akishinda kutafuta mwanaume wa dizaini ya hii list yako lakini wapi hajaridhika tu mpaka sasa kakomba mwanaume wa thelasini na kitu na sidhani kama atampata.
 
Ingekua wanaume mpo simple namna hiyo mbona ingekua raha?nyie ni kama watoto mnahitaji kufanyiwa kila kitu
 
Ndio maana wanaume ni watu muhimu sana kwetu sisi wanawake...sijui ikitokea mkatoweka ghafla sijui itakuwaje kwa kweli.
Mungu awajalie maisha marefu na mdumu kuwa na afya tele.

Hahahahaa umewakomesha kimya kimya
 
Ndio maana wanaume ni watu muhimu sana kwetu sisi wanawake...sijui ikitokea mkatoweka ghafla sijui itakuwaje kwa kweli.
Mungu awajalie maisha marefu na mdumu kuwa na afya tele.

Shukran sana Cute..
 
Ndio maana wanaume ni watu muhimu sana kwetu sisi wanawake...sijui ikitokea mkatoweka ghafla sijui itakuwaje kwa kweli.
Mungu awajalie maisha marefu na mdumu kuwa na afya tele.

Leo cute kakomenti vzr hivi, basi van gal amemnyoosha viva van gal
 
Kweli kuzaliwa mwanaume nimateso makubwa unakuta mtu unastress zako hasa za jpm then mwanamke namwenyewe anakuongezea jaman maisha gani kweli maisha ni mateso makubwa
Ndiyo maana tunakufa mapema na kuacha viajuza vijane kibao! Kama isingekuwa ishu ya papuchi mi wala nisingehangaika na wanawake. Lakini sasa ukiipata papuchi tena ile mnato nene tamu ya moto basi mtu inabidi uwe mpole tu na kukubali kutumika.
 
Yaani mama bhoke nikimtekelezea mambo yote hayo..atarudi kwao na kunikejeli..aaagh fanyeni nyie mm wangu hapendi.
 
Ndio maana wanaume ni watu muhimu sana kwetu sisi wanawake...sijui ikitokea mkatoweka ghafla sijui itakuwaje kwa kweli.
Mungu awajalie maisha marefu na mdumu kuwa na afya tele.
amen.........
 
Ahaaaa 61 ina raha yake loh nani anaitimiza akuje nimpe thawadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…