yaan wanaume wote wangekua wanalitambua hilo ya kupay attention kwa wake/gf zao nahisi mahusiano mengi yasingevunjika tatizo wanaume wa siku izi sijui niaje yaan kazi,mpira,pombe ndo wameeka mbele..wanafikiria kwamba akimpa mwanamke pesa mwisho wa matatizo....mnapotea wanaume.