Wanawake wanajua kudeka we acha tu!

yaan wanaume wote wangekua wanalitambua hilo ya kupay attention kwa wake/gf zao nahisi mahusiano mengi yasingevunjika tatizo wanaume wa siku izi sijui niaje yaan kazi,mpira,pombe ndo wameeka mbele..wanafikiria kwamba akimpa mwanamke pesa mwisho wa matatizo....mnapotea wanaume.
 
Kwa wanawake wote mliochangia:MAPENZI NI YA WAWILI '''''''''' msiwalaumu sana wanaume maana wanawake wengi pia wanashindwa kutimiza majukumu yao. BOTH OF YOU SHOULD BE RESPONSIBLE AS FAR AS YOUR RELATIONSHIP IS CONCERNED'
 
<br />
<br />

Kama umeoa naanza kuamini Maneno ya nyumba kubwa aliposema wanaume wanaocare sana ni wazinzi!

Ni kweli kabisa, lakini inategemea na uwezo wa mtu katika kudhibiti mihemko yake. jambo moja ambalo ningependa wengi mlifahamu ni kwamba, wanaume wenye silka ya ku-care sana huwa wanakimbiliwa sana na wanawake, kila mmoja anatamani kuwa na uhusiano kwa namna moja ama nyingine na mwanaume wa aina hiyo......ndio kanuni ya maumbile, ingawa pia wapo wale ambao wangependa kuwa na wanaume watesaji, yaani wakiteswa kwao ni Burdani.
Mimi siko hivyo, ninafanya kazi katika mazingira ambayo ningeweza kushawashika kirahisi sana, lakini nimemudu kwa kiasi kikubwa kudhibiti mihemko yangu, na sina tamaa ya ngono kiasi hicho.
hata wewe ukipenda kuwa kama mimi unaweza.
 
Back
Top Bottom