Wanawake wanaishi katika misingi ya uongo uongo

Wanawake wanaishi katika misingi ya uongo uongo

Wanawake wako hivi
1.hawajawahi kuwa na upendo na mwanamme
2,ukiona anakwambia kakuzimia,jua kuna kitu amekiona mbeleni atakuja faidika nacho.
3,akiona hakipo kama vile kazi umefukuzwa,biashara imefilisika jua hamuwezi kuendelea na mahusiano.
4.ishi nao kwa kuviziana tu.usijiachie kwa saaana hata kama mkeo,na yeye kamwe hawezi kujimaliza mbele yako hata siku moja.
5,usiwekeze kwao.

Mkuu kweli kabisa hip situation ndo napitia aseee dem hawez kukupenda bureee lazima kuna kitu kakiona
 
Mnajifariji tuu lakini kuishi bila wanawake hamuwezi, tena mtaendelea kuwahudumia kwa kila kitu, hapa jukwaan mnajidai lkn mtaan huko mnabembeleza vizuri tuu hadi machozi, mkija huku mnajidai vidume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom