Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
kuna concept ya kijerumani inasema kwamba ''ukimuwekea mwanamke kisu kikali na kisu butu halafu ukamuuliza ni kipi angetumia kumchoma mtu anayemchukia atachagua butu ili amtese,wakati mwanaume angechagua kikali ili amalize hasira haraka'.
Hivi wewe Una mama, dada, shangazi, mke, marafiki wa kike, mtoto wa kike je , bibi....
Chunga sana maneno yako mkuu , unadhani
Unatukana wanawake au watoto wa wengine
Umejisahau ya kwamba wamekuzunguka..
At least hata ungesema si wote .. ..
Sio kwa wote!
Lakini ni umezaliwa na viumbe hawa; umelelewa na mama, shangazi, dada n.k.
Umekwenda shule, mchango wa mama Nduka leo hii umesahau! Baba yako wakati akiwa Afisa Elimu, mama yako akijitahidi wewe uwe ktk maisha na mienendo mizuri leo umesahau! Pole sana!
Wanawake wana roho mbaya sana na sijui ni kwanini. Ukitaka ku prove fuatilia haya hapa.
1. Wanavyoishi na ma house girl
2. Wanavyoishi na watoto wa kambo
3. Wanavyoishi na wakwe zao
4. Wanavyoishi na mawifi.
Na pia angalia mwanamke akawa Blandina Nyoni fulani hivi usipime huo moto wake kwa wanawake wenzake.
Hivi wewe Una mama, dada, shangazi, mke, marafiki wa kike, mtoto wa kike je , bibi....
Chunga sana maneno yako mkuu , unadhani
Unatukana wanawake au watoto wa wengine
Umejisahau ya kwamba wamekuzunguka..
At least hata ungesema si wote .. ..
Ukimzaa mwanao ndo umchukie na kumfanyizia mtoto wa kambo?1. Hebu akangalia mwanamke alivyokutunza miezi tisa tumboni huku akiteseka na masickness kibao.
2. Akapata uchungu mkali wakati anakuzaa.
3. Hakulala usingizi akikubembeleza na kukunyonyesha na kuharibu ujana wake kwa ajili yako!
4. Akifua matapishi na mimavi yako kipindi unajinyea
5. !
Tena kama nyie mlioenda enda shule ndo mna roho mbaya sana. Mnajifanya hamu entertain mambo ya extended family. Hivi unafikiri ulivyonikuta mimi nina kagari na kaofisi unadhani nilidondoka toka mbinguni? leo hutaki kaka zangu wala nani
Mkuu kama unagari na ofisi acha ku ringisha
Basi ..
We unamatatizo yako binafsi unamletea kila mtu .
si useme tu nini kulikoni upewe ushauri kuliko kumwangukia kila mwanamke ..
Hivi wewe Una mama, dada, shangazi, mke, marafiki wa kike, mtoto wa kike je , bibi....
Chunga sana maneno yako mkuu , unadhani
Unatukana wanawake au watoto wa wengine
Umejisahau ya kwamba wamekuzunguka..
At least hata ungesema si wote .. ..