teh teh teh[emoji23][emoji23][emoji23]wanawake tuna madini atari na radha ya ajabu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]wanawake tuna madini atari na radha ya ajabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mzee Mwinyi anafahamu. SUKARI.Habari za muda huu wakuu.
Leo nakuja na swali kwa WOTE (ME na KE)
Jamani ni kwanini mwanaume anapokuwa na mwanamke aidha wanatembea au katika matembezi ya kawaida au kwa namna yoyote ile akiwa na mwanamke yaani mtu (mwanaume) anabadilika na kuwa hivi.
- Mwanaume anakua na sifa kupita kiasi. Yaani ukimkuta kijana ana demu anaweza kukujibu vibaya mpaka utashangaa.
( Hivi ni yule kweli?) Afu Mambo ya kawaida tuu.
Hivi Ni kwanini baadhi ya wanaume wenzangu mnakua hivi aisee
Au hao wanawake wanakuwa wana madini gani katika miili yao mpaka kiasi cha kuwabadilisheni??
A. Wanawake mje mtwambie
B. Wanaume muje munsaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za muda huu wakuu.

ulikelwa mkuu????[emoji849][emoji849]Kama juzi nimeongozana na dadangu tumbo moja akatokea jamaa moja anamsema mbele yangu kuwa mwanamke huyu ana chura ya maana mbele yangu na mbele ya umati,
Yule kijana nadhani alienda kushonua nyuzi kama si 6 ni nane,
Wote walionisapoti na walionikebehi ila kwa kile kipigo hakuna ambaye angejitoa mwanga tena kuna kupambana na mimi
Kipingo cha kuonya adui
Sent using Jamii Forums mobile app