Wanawake wana madini gani jamani?

Wanawake wana madini gani jamani?

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,963
Habari za muda huu wakuu.

Leo nakuja na swali kwa WOTE (ME na KE)

Jamani ni kwanini mwanaume anapokuwa na mwanamke aidha wanatembea au katika matembezi ya kawaida au kwa namna yoyote ile akiwa na mwanamke yaani mtu (mwanaume) anabadilika na kuwa hivi.

- Mwanaume anakua na sifa kupita kiasi. Yaani ukimkuta kijana ana demu anaweza kukujibu vibaya mpaka utashangaa.
( Hivi ni yule kweli?) Afu Mambo ya kawaida tuu.

Hivi Ni kwanini baadhi ya wanaume wenzangu mnakua hivi aisee

Au hao wanawake wanakuwa wana madini gani katika miili yao mpaka kiasi cha kuwabadilisheni??

A. Wanawake mje mtwambie
B. Wanaume muje munsaidie


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brah only wanaume ambayo hawajiamiani ndo wanakuwa hivyo na kuwa desperate kutry hard kuwa impress hao wanawake..
But sadly it turns them off..instead..


Real men are always calm, confident and relaxed in every situation..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanawake ni pambo la dunia haswa umpate mzuri kweli kweli utahisi dunia yote yako!,sa we kidume tunaonana kila siku na story tumezizoea wenyewe
 
(Methali 30 )
------------
18Kuna mambo matatu yaliyo ya ajabu kwangu, Naam, kuna manne nisiyoyafahamu.
19Mwendo wa tai katika hewa; Na mwendo wa nyoka juu ya mwamba; Mwendo wa merikebu katikati ya bahari; Na mwendo wa mtu pamoja na msichana.
 
(Methali 30 )
------------
18Kuna mambo matatu yaliyo ya ajabu kwangu, Naam, kuna manne nisiyoyafahamu.
19Mwendo wa tai katika hewa; Na mwendo wa nyoka juu ya mwamba; Mwendo wa merikebu katikati ya bahari; Na mwendo wa mtu pamoja na msichana.
duh
 
Back
Top Bottom