2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi Wa Watoto Wao.
5. Wana Huruma Sana Ingawa Mara Nyingi Huwa Inawaponza.
6. Wana Uwezo Wa Kubadilisha Tabia Ya Mwanaume Muda Wowote.
7. Wana Uwezo Wa Kuishi Na Kupendeza Bila Kuwa Na Kazi Wala Biashara Yoyote.
Hapa si mara zote. Wapo wanawake ambao hawawajui baba halisi wa watoto wao.
Hii nayo inahitaji qualification kwa sababu siyo absolute.
Ninja pliiiz. Huo ni usasili.
Uumm....hii nayo inahitaji qualification. Huwezi tu kuishi na kupendeza bila kufanya shughuli yoyote ile.
Ohhhh...ngoja waje wakweli watafunguka mbona wengi tu hapa mjini na tunawajuwa wanaishi bila kazi wala biashara.
so far no 9 ndio ukweli mtupu
Huwezi kuishi bila shughuli yoyote popote pale duniani!
Remtullah...Nahisi kuna vipengele vinaelekea kubadilika, kuna wanaume wanapendeza siku hizi wanawake tupa kule! Wanabadilisha nguo na kuoga zaidi ya wanawake, unamjua Ben Kinyaiya wewe? Kuna yule mwanamitindo kijana hivi Mwarabu sijui Mhindi jina lake limenitoka, hao ni mfano tu bado mitaani tunakoishi nao
Mbona mimi naweza??
Na wasaidizi ninao
Sasa ifanyiwe nini??nyingine wanaakili ya kumjulisha tu... yani kama ni wapenzi na wote mnavipato atatumia pesa yako tu, ya kwake haiguswi
Sasa uhakika wa maisha yangu unao wewe???Una uhakika?
Ukitaka kununua manukato hela unatoa wapi?
Wanaweza.kulalaa na.wanaume zaidi ya wa5 kwa.siku.na usijue...