Wanawake walioolewa na tabia ya kushikashika pete zao

Mungu Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
1,474
Reaction score
1,088
Hivi kwa nini unapokuwa na mazungumzo ya kazi/kijamii na Mwanamama au mwanadada aliyeolewa na kuvaa Pete, Mara nyingi mkiwa mnaongea utakuta anashikashika Pete yake. Hii huwa ina maana Gani? Kwa sababu Mimi huwa nakasirika sana.
 
Hahaha labda anakuonesha kwamba nafasi iko na mtu tayari
Au mapozi tu
Usikasirike jiongeze tu
 
Anaishika shika pete labda kidole kinamwasha hua zikiingia sabuni zinawasha na wewe kwa muda huo unajuaje kama anashika shika pete au unamwangalia kama kavaa pete?
 
Unatakiwa usome majira mkuu,hapo unaambiwa anamtu na ile pete inamuwakilisha,ongea kwa adabu na staha,usijisahau,vhunga unayo ongea,zingatia muda anatakiwa kumuhudumia alie mtunuku pete hiyo.nk.
 
Anakuja Yesu![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Hivi kwa nini unapokuwa na mazungumzo ya kazi/kijamii na Mwanamama au mwanadada aliyeolewa na kuvaa Pete, Mara nyingi mkiwa mnaongea utakuta anashikashika Pete yake. Hii huwa ina maana Gani? Kwa sababu Mimi huwa nakasirika sana.
Achana na wake za watu.
 
Mmh
Sio wote jaman hivi unaanzaje kuringishia pete naona ushamba tu labda sababu nimejizeekea hao wapya kwenye ndoa
 
Unatakiwa usome majira mkuu,hapo unaambiwa anamtu na ile pete inamuwakilisha,ongea kwa adabu na staha,usijisahau,vhunga unayo ongea,zingatia muda anatakiwa kumuhudumia alie mtunuku pete hiyo.nk.
Kwa mimi ni code language yao, Iam married but we can get our freak on!!
Alafu hivi kuna haja unakuta jidada liko ktk ndoa miaka 5 sasa bado limevaa pete ya ndoa sambamba na ya uchumba!
Vaa pete ile simpo tu ya ndoa ktk kidole chako, pete isiyo na maurembo urembo inatosha!! Zile ulizovaa siku ya harusi weka kabatini kama kumbukumbu.
 
Hao wapya kwenye ndoa, sidhani kwa MTU aliyekomaa ndoani kama anakumbuka anapete kidoleni kwa jinsi wengine walivyo vurugika na changamoto....lakini ww kama mwanaume kwann ikuudhi!?
 
Kwa mimi ni code language yao, Iam married but we can get our freak on!!
Alafu hivi kuna haja unakuta jidada liko ktk ndoa miaka 5 sasa bado limevaa pete ya ndoa sambamba na ya uchumba!
Vaa pete ile simpo tu ya ndoa ktk kidole chako, pete isiyo na maurembo urembo inatosha!! Zile ulizovaa siku ya harusi weka kabatini kama kumbukumbu.
Mkuu hata ningekuwa na miaka 10 ndoani,pete zangu hakuna kuvua,nivae simple ili iweje?na hiyo simple ni ya aina gan?navaa zote maana zote zake na zina muhusu pia zinaeleweka.

~Kwani shida iko wap?
~Kwako akivaa zote tatizo nn?
~Inapendezesha na vidole vyao.
~zina urembo wa aina gani mpaka zikukwazee?
 
Ni mtazamo wangu, hamna haja ya povu!!
NEWLY WEDDED utawajua tu!!
 
Hata wanaume wakiongea wadada wanaingiza mikono mfukoni ,hivi kwanin?
 
Back
Top Bottom