Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Teh huna presha coz si Unajua alivyo liability.Kuna mchepuko unaotaka liabilityOoooohhhh!!!! Poleni wadogo zangu Mbona kwangu si bahili? Yaani nazitumia nitakavyo kwa wakati wowote, ndo maana huwa sina presha mwiko wangu utanirudia mwenyewe, yaani kwangu habishani, ndoa yetu ina amani bana!!!!!!
Teh huna presha coz si Unajua alivyo liability.Kuna mchepuko unaotaka liability
Hilo darsa lako kaa nalo tu. Tunamshukuru Mungu coz ametubariki na assets from the beginning. A liability will always be a liability.... ila kwa kuwa umeshazoea shida, basi enjoy tyuuuuKwangu ni bonge la asset hamjui tu yaani akipotea nami nimepotea ahahahahaha, wadogo zangu msione vyaelea mjue vimeundwa ati!!!!!! Embu njooni niwape darasa how to change a liability to asset...
Hilo darsa lako kaa nalo tu. Tunamshukuru Mungu coz ametubariki na assets from the beginning. A liability will always be a liability.... ila kwa kuwa umeshazoea shida, basi enjoy tyuuuu
Unadhani utaelewa basi, ngoja nisiongee sana utajanjaruka afu utoroke uje kupata raha buree. Muungano mwema tehHahhahaha Dogo umebug sijazoea shida bana naenjoy life ,tumia fursa ufursike....... Eli79 kuna break news plz ukuje kwa chumbani Aljazeera wanahabari nzuri
Unadhani utaelewa basi, ngoja nisiongee sana utajanjaruka afu utoroke uje kupata raha buree. Muungano mwema teh
Sawa liability addict tehDogo langu kumbuka nimeona jua kabla yako? Raha ya jembe liweze kutifua kila aina ya udongo, mjasiriamali mzuri ni yule ambaye anaona fursa ambazo wengine hawaoni, ombi langu muendeleee kuwa vipofu hivyo hivyo! !!!!....
Ooooohhhh!!!! Poleni wadogo zangu Mbona kwangu si bahili? Yaani nazitumia nitakavyo kwa wakati wowote, ndo maana huwa sina presha mwiko wangu utanirudia mwenyewe, yaani kwangu habishani, ndoa yetu ina amani bana!!!!!!
Hilo darsa lako kaa nalo tu. Tunamshukuru Mungu coz ametubariki na assets from the beginning. A liability will always be a liability.... ila kwa kuwa umeshazoea shida, basi enjoy tyuuuu
Chukua kinywaji kwa mangi bili utaleta sawa?
Teh nashukuru boss, nimeambiwa bill ushaclear
Chukua kinywaji kwa mangi bili utaleta sawa?
Kwani tunaokula maisha huwa tunaongea basi... tupo kimya teh. Sisi wazima sana, happy sabbath kwako na kwa liability yakoHahhahhaha endeleeni kujifariji mi ndo nakula life hivyooooo.... Eli79 twende zetu kanisani leo popote ulipo nipo naona wanapiga majungu sana hawa wasije kukwiba bureeee!!!!......wazima lakini warembo?
Hahhahhaha endeleeni kujifariji mi ndo nakula life hivyooooo.... Eli79 twende zetu kanisani leo popote ulipo nipo naona wanapiga majungu sana hawa wasije kukwiba bureeee!!!!......wazima lakini warembo?