Nonsense!
Mtu kaanza kushiriki tendo la ndoa ana miaka 13, akiwa shule ya msingi. Kaanza O level mwendo mdundo, A level ameshakewa expert, anamaliza chuo tayari ni kungwi. Ameshiriki tendo hata hakumbuki idadi. Hata huyu analalamika hafikishwi kileleni!
Nyambafu kabisa.