unachokiona wengi hawakioni hivyo hutapata support kubwa, lakini uko sahihi sana.Dunia inaenda kasi sana. Wanawake Wakristo Tanzania niwaombe zaeni bila kuogopa kwa sababu watz bado tupo 45M. Lakini nimeexperience miaka ijayo makanisa yatakosa watu kwa sababu wamama kujifunga vijiti na kuzaa mtoto mmoja tu. Na niombe makanisa na hata waislam wahimize wakinamama kuacha kuweka vijiti kama bado vijana na nafasi wanazo za kuzaa badala ya kuwa na kitoto kimoja tu. Tusiangalie sana mambo ya kuwasomesha kama tutawasomesha kwenye elimu hii ya serikali hatuna budi kuwa na watoto zaidi ya wanne au watano ili jamii ya kitanzania ikue. Kwa sasa niko hapa hospital kila siku wadada zaidi ya kumi wanafika kuwekewe vijiti vya kuzuia mimba. Hii naiona kama ulaya ilivyo sasa nchi kama ujerumani na nchi zingine za ulaya makanisa yamekuwa tupu. Pia ujeruman na nchi kama ireland wanaaamua kuchukua wakimbizi kuja kusaidia zile kazi ambazo hazihtaj more skills.
Kama taifa vijiti bado ni mhm lakini kwa vijana nashauri isiwe mhm sana na makanisa na misikiti waendelee kutoa elimu kuhusu kuzaa watoto wanne mpaka watano.
Nawakilisha.....
Mbona kama unapingana na muumba? Aliyekuambia dunia imejaa nani? Yeye katupa kazi moja tuujaze ulimwengu tukijaa atafunga yeye! Suluhisho nikutokuiga maisha ya academy sikuli,international na kuondoa woga wa kuishi vijijini,ardhi zipo,mito ipo jamani tuingie shambani maisha mazuri huku!Ukizaa ukushindwa kuwatimizia mahitaji ni dhambi kubwa kwa mungu. Fungeni tu jaman maisha magumu huku kitaaa maana hakuna namna
Nakuunga mkono asilimia 100 tz bado INA nafasi kubwa ya watu kuishi na kufanya kazi mapori bado hayajajaa sehemu za kuishi bado ziko nyingi,Dunia inaenda kasi sana. Wanawake Wakristo Tanzania niwaombe zaeni bila kuogopa kwa sababu watz bado tupo 45M. Lakini nimeexperience miaka ijayo makanisa yatakosa watu kwa sababu wamama kujifunga vijiti na kuzaa mtoto mmoja tu. Na niombe makanisa na hata waislam wahimize wakinamama kuacha kuweka vijiti kama bado vijana na nafasi wanazo za kuzaa badala ya kuwa na kitoto kimoja tu. Tusiangalie sana mambo ya kuwasomesha kama tutawasomesha kwenye elimu hii ya serikali hatuna budi kuwa na watoto zaidi ya wanne au watano ili jamii ya kitanzania ikue. Kwa sasa niko hapa hospital kila siku wadada zaidi ya kumi wanafika kuwekewe vijiti vya kuzuia mimba. Hii naiona kama ulaya ilivyo sasa nchi kama ujerumani na nchi zingine za ulaya makanisa yamekuwa tupu. Pia ujeruman na nchi kama ireland wanaaamua kuchukua wakimbizi kuja kusaidia zile kazi ambazo hazihtaj more skills.
Kama taifa vijiti bado ni mhm lakini kwa vijana nashauri isiwe mhm sana na makanisa na misikiti waendelee kutoa elimu kuhusu kuzaa watoto wanne mpaka watano.
Nawakilisha.....
Mambo mengi kama yapi ndugu?Hawajui tu madhara ya njiti,umri ukienda kama umewahi kutumia njiti na zingine za kitaalamu kama uzazi wa mpango kuna mambo mengi sana yanatokea